
Mesut Ozil ni moja ya wachezaji bora katika sayari hii, na hata girlfriend wake is world class.
Real Madrid playmaker kwa sasa anam-date mwanamitindo Aida Yespica, a beautiful girl ambaye alikuwa Miss Venezuela mwaka 2002
Aida mwenye umri wa miaka 28 aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa English pop singer Craig David.
No comments:
Post a Comment