Search This Blog

Saturday, July 23, 2011

ADEBAYOR NA THAMANI YA £25m AFANYA MAZOEZI NA TIMU YA WATOTO



Aibu imeendelea kumkumba Emmanuel Adebayor baada ya jana kulazimishwa kufanya mazoezi na timu ya wadogo wa klabu ya Manchester City.
Mchezaji huyo wa zamani Arsenal ambaye aliachwa kwenye tour ya City nchini Marekani, kwa sasa yupo katika harakati za kutafuta timu ya kuhamia baada ya kusema wazi hataki kuendelea kubaki Eastlands.

Adebayor mwenye thamani ya £25million bado anataka kujiunga na Real Madrid kwa ujumla baada ya kuitumikia klabu hiyo katika nusu ya msimu uliopita, lakini kocha wa Tottenham Hospurs Harry Redknapp nae ameonyesha nia ya kumtaka mwafrika huyo.

No comments:

Post a Comment