Search This Blog

Saturday, July 23, 2011

OFFICIAL: HEINZE ATUA AS ROMA


Masaa machache baada ya kukamilisha usajili wa Bojan Krkic klabu ya AS Roma ya Italia leo imetangaza usajili wa beki wa zamani wa Man United na Real Madrid Gabriel Heinze kutoka Marsaille kwa uhamisho huru.
Klabu hiyo ya Italia haijatoa taarifa zaidi za usajili huo lakini tetesi zinasema Heinze mwenye umri wa miaka 33 amesaini mkataba wa mwaka wa mmoja wa kuitumikia klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment