Search This Blog

Friday, June 17, 2011

OFFICIAL: DEMBA BA AJIUNGA NA NEWCASTLE


DEMBA BA amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Newcastle kwa mkataba wa miaka 3.

The Senegal international ambaye amekuwa kwa miezi sita ndani ya klabu ya West Ham anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Newcastle ndani kipindi hiki cha usajili baada ya Yohan Cabaye.

Ba akiwa na Wagonga Nyundo wa London alifanikiwa kufunga mabao 7 ndani ya mechi 12 baada ya kujiunga na West Ham kutoka Hoffenheim katika kipindi cha usajili mwezi January.

Newcastle boss Alan Pardew amesema:
"Demba alifanya mambo makubwa sana akiwa na West Ham msimu uliopita hivyo ni moja kati ya usajili mzuri kwa klabu hii.Ana kasi, ana uwezo mkubwa wa ufundi uwanjani, ni mzuri kwa mipira ya juu na pia ana uwezo wa kufunga mara kwa mara, lakini kikubwa zaidi ya yote ana mapenzi ya kucheza Newcastle."

Ba atapewa jezi 19 msimu ujao.

No comments:

Post a Comment