Search This Blog

Monday, June 6, 2011

LA GALAXY KUMPA MAJUKUMU YA UKOCHA BECKHAM


MLS giants LA Galaxy wanajipanga kumpa majukumu ya ukocha David Beckham wakati mkataba wake wa kuichezea timu hiyo utakapokwisha.

Mkataba wa miaka mitano wa former Manchester United and England captain unaisha mwishoni mwa msimu wa ligi kuu ya Marekani na LA Galaxy wanategemea watampa Becks mkataba mwingine wa mwaka 1 utakaohusisha na na majukumu ya ukocha

Inaaminika pia Beckham atapewa nafasi ya kwenda kwa mkopo na timu ya Europe kati ya January na April mwaka 2012 kama atakubali mkataba huo mpya.


No comments:

Post a Comment