Search This Blog

Saturday, June 18, 2011

Goli la Ulimwengu Ugenini dhidi ya Cameroon

Thomas Ulimwengu alifunga bao ugenini kwenye mchezo dhidi ya Cameroon ambao uliisha kwa Cameroon kushinda mabao 2-1, hata leo goli la ugenini ni muhimu mno..
GOOOO Goooo Tom Ulimwengu pamoja Mbwana Samatta.
Mbwana Samatta pia alifunga goli ugenini kwenye mchezo wake wa mwisho akiwa na kikosi cha timu kubwa ya Taifa dhidi ya Africa ya Kati, Stars pia ilifungwa 2-1
sasa unapata picha gani kwenye mchezo wa hapo baadae?





No comments:

Post a Comment