Search This Blog

Saturday, June 18, 2011

WAKATI WAINGEREZA WAKIENDELEA KULA BATA, DIDIER DROGBA AVUTA JIKO

Didier Drogba amefunga ndoa ya kiasili na mama wa watoto wake wa 3 Lalla Diakite jijini Monaco-Ufaransa.

Drogba na Lalla wamekuwa pamoja kwa zaidi ya miaka 12, na ndoa yao ilihudhuriwa na wageni zaidi 500 wakiwemo wachezaji wenzie Solomon Kalou, Florent Malouda na Micheal Essien.

No comments:

Post a Comment