Search This Blog

Wednesday, June 29, 2011

EXCLUSIVE: COCKTAIL PARTY YA ANDY COLE.

juma katunda ( cameraman wa sports bar ya clouds tv) akiwa na nick humphrey



aidan seif mmoja wa 'ma-engineer' wa blog akiwa na mkurugenzi wamahusiano wa Man utd mr nick humphrey

duuuh kweli milima haikutani ila binadamu hukutana....'yorke' unafanya nini huku ?,inaelekea ndivyo andy cole anavyomshangaa mtangazi wa kipindi cha jahazi cha clouds fm mr kibonde kwa jinsi anavyoonekana kufanana kisura na mshambuliajiwa zamani wa man utd dwight yorke.

wafanyakazi wa kampuni ya AIRTEL wakipiga picha ya pamoja na gwiji wa soka Andy Cole.


HAPA NIKIWA NA MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA MHESHIMIWA ADEN RAGE.


'AISEE KIJANA KWA UMRI WAKO WA MIAKA 40 UNAWEZA KUTUSAIDIA SANA SIMBA KWENYE SAFU YA USHAMBULIAJI....MADARAKA SELEMAN ALICHEZA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 42 SEMBUSE WEWE TENA UMECHEZEA MANCHESTER UTD ? NJOO MSIMBAZI BWANA!!!'


MIMI,GEOFREY LEA NA KATIBU MKUU WA TFF ANGETILEH OSEAH TUKIWA NA ANDY COLE MARA BAADA YA MAHOJIANO.


MDAU FARAJA MASSAWE WA ACTIVE TOOURS KAMPUNI ILIYOKUA NA JUKUMU LA KUMTEMBEZA ANDY COLE.

WDAU WA BLOG HII WALIOSHINDA COMPLEMENTARY YA KUKUTANA NA ANDY COLE KUPITIA SPORTS XTRA YA CLOUDS FM WAKISAINIWA KWENYE OUTOGRAPH ZAO NA ANDY COLE.


GEOFREY LEA MMOJA WA 'MA-ENGINEER' WA HII BLOG AKIJINAFASI NA ANDY COLE.

ANDY COLE AKIHUTUBIA WAGENI WAALIKWA KWENYE SHEREHE YAKE YA VINYWAJI NA VITAFUNWA.

ANDY COLE AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AIRTEL TZ,SAM ELANGAALLOOR KWENYE CORKTAIL PARTY ILIYOFANYIKA HOTEL YA KEMPINSKI.

ANDY COLE AKIINGIA KWENYE UKUMBINI KUKUTANA NA WADAU WAKE.



NIKIWA NA WAFANYAKAZI WA AIRTEL TANZANIA.




KELVIN TWISSA ( KUSHOTO), OBINNA ANICHE ( KATI ) PAMOJA NA MDAU.






















No comments:

Post a Comment