Search This Blog

Monday, June 6, 2011

CARLOS AKIHAMA MJINI MANCHESTER


Huku habari za kutaka kuhama Manchester City zikizidi kushamiri na kutawala katika vyombo vya habari, leo asubuhi magari ya kuhamisha vyombo yameonekana nje ya nyumba ya mshambuliaji wa Man City na Argentina yakihamisha vyombo, hali ambayo imewatia hofu mashabiki wa Eastlands.
Tevez jana alikaririwa akisema kuwa amezungumza na mmiliki wa Man City na Sheikh Mansour amemwachia mamlaka yote ya kuamua kubaki au kuondoka.

No comments:

Post a Comment