ASHLEY YOUNG - NDOA KWANZA HALAFU UHAMISHO
Inaonekana Sir Alex Ferguson na Manchester United itabidi wasubiri mpaka wiki ijayo ili waweze kumaliza deal ya kumnyakua Ashley Young kutoka Aston Villa baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Watraford kusema wa sasa anataka kufikiria zaidi kuhusu ndoa yake itakayofanyika Jumamosi.Ashley Young anategemea kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa siku nyingi aitwaye Nick ambaye wanatoka sehemu ya Hertfordshire.
No comments:
Post a Comment