Search This Blog

Wednesday, May 11, 2011

VITU VYA KIPRE TCHETCHE KABLA HAJATUA AZAM FC.

5 comments:

  1. hakuna striker humo Shafii.jamaa wa kawaida sana.nashangaa tuna vijana wazuri wa ki-tz lakini hatuwapi nafasi

    ReplyDelete
  2. Tatizo hao unasema wa kitanzania hawana determination huyo unayemponda baada ya miaka mitatu utasikia yupo PSG. wachezaji wetu wakifika simba au Yanga wamemaliza

    ReplyDelete
  3. EXTRA VANGAZA IKO POA INATUBAMBA ILEILE

    ReplyDelete
  4. wachezaji wa bongo kweli wapo lakini full malaria ni homa za vipindi cheki kama chuji alikuwa mchezaji mzuri misifa yakuwa yanga angalia sasa bado kijana mdogo lakini hakuwa na vision haya wengine wakina boban ushaingia geiti unaacha kuhangaika uingie chumbani nalilia ukae geitini haya sasa karui kuja kula mibange yake wakati wachezaji wa nchi za afrika magharibi, kati,kidogo east africa kenya, uganda na rwanda angalao wanajaribu lakini bongo ng'ooo hawana lolote wataishia kufanya mazoezi kujenga mwili hivyohivyo na mijkombe ya ngo'ombe (kagame)hakuna loloteeee

    From Katemba

    ReplyDelete
  5. hawana vision hawa wachezaji ila sio wote

    ReplyDelete