Search This Blog

Wednesday, May 25, 2011

REDKNAPP KUMUUZA JENAS ILI KUMPATA PARKER


Kocha wa Tottenham Harry Rednkapp anajipanga kumuuza kiungo Jarmine Jenas ili aweze kupata fedha za kumnunua Scott Parker kutoka Wst Ham.
Mwekiti wa Tottenham amemwambia Harry itabidi auze wachezaji kadhaa ili apate fedha za kununulia wachezaji wengine.
Scott Parker ambaye pia anawania na Liverpool pamoja na Arsenal timu yake ya West Ham imeshuka huku kiungo huyo akiwa kwenye form na kumfanya kuwa lulu katika soko la uhamisho nchini England.
Bei ya kuingo wa Hammers inatajwa kuwa ni paundi millioni 5.

No comments:

Post a Comment