Search This Blog

Sunday, May 22, 2011

ORLANDO PIRATES KAMA YANGA




Klabu ya Orlando Pirates jana imefanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya South Africa katika siku ya mwisho ya ligi hiyo kwa tofauti ya mabao.Orlando na Ajax zote zimemaliza ligi zikiwa na points 60 lakini Orlando wana tofauti kubwa ya mabao.

No comments:

Post a Comment