Search This Blog

Sunday, May 22, 2011

LILLE YAMALIZA UKAME WA MIAKA 57


Klabu ya Lille Metropole imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligue 1, na kumaliza ukame wa kombe uliodumu kwa miaka 57.
Lille ambao jana walipata matokeo ya draw ya 2-2 dhidi ya PSG walichukua ubingwa ligi kuu ya Ufaransa mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1954.CONGRATULATION TO LILLE METROPOLE

No comments:

Post a Comment