Search This Blog

Saturday, May 14, 2011

HATIMAYE KLABU YA YANGA YAPANDA DAU KWAJILI YA KUMRUDISHA NGASSA JANGWANI.


Baada ya juhudi za viongozi wa yanga kumrudisha Mrisho ngassa katika klabu ya yanga ya jijini Dar es salaam sasa imeamua kumpandia dau na inamtaka kwa sh.milioni 50.

1 comment:

  1. wanataka kuchemka ngassa wa nini yanga then ngasa afikirie mbele hivi hana washauri?

    ReplyDelete