Search This Blog

Wednesday, April 2, 2014

USHAHIDI WA VIDEO: SCHWEINSTEIGER ALISTAHILI KADI AU ROONEY ALIJIRUSHA?

Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola kwa pamoja na mchezaji wake Bastian Schweinsteiger wamelalamika kwamba mchezaji Wayne Rooney alijirusha katika mchezo wa jana na kumsababishia kadi nyekundu kiungo Schweinsteiger. Tazama picha na video kisha toa maoni yako Schweinsteiger alistahili kadi au Rooney alijirusha?

15 comments:

 1. Dah ni kweli alihitusha but football is a game of techniques

  ReplyDelete
 2. hawa watoto wa uingereza wamezoea uongo sana, Mjerumani alimmind kweli, halafu akamwambia sio mimi ni refa. Nilitegemea angemwambia refa kama sio kweli asitoe kadi nyekundu

  ReplyDelete
 3. Ebu tizama hiyo video kwa nyuma na mbele ndo utie neno na sio ushabiki,Basten kweli aligusa miguu ya Rooney kwa tako lake na vile rooney alikuwa kasi alishindwa control mwili wake na kuanguka.Siku zote Rooney yuko tofauti na wachezaji wengine,huwa sio mtu dhaifu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jamaa unabishana hadi na rooney mwenyewe aliyedanganya (mwenyewe anasema ni kosa la refa wewe hutaki... kwenye ukwel weka mapenz pemben mi mwenyewe Man U)

   Delete
  2. Huyu anaweza hata kubishana na redio.

   Delete
 4. Tatizo tunaamua kishsbiki kwa mtazamo huo huwezi kupata ukweli hata tukipata ushahidi gani

  ReplyDelete
 5. Bastian alicheza rafu kweli ila haikustahili kadi nyekundu. Ni late challenge= foul. Ila zamu yao rubben kawapa wangapi kadi na penalty?!

  ReplyDelete
 6. Diving.. Rooney alifanya kitu kibaya lakini ndio ujanja wa mpira

  ReplyDelete
 7. plain diving , Rooney alijirusha, but in football its ok

  ReplyDelete
 8. Aya yote mayataka suarez na young sasa ni zam ya rooney na sturidge.... ni tabia mbaya sana kwenye mchezo na naichukia kweli kweli f*k rooney

  ReplyDelete
  Replies
  1. Fuck yourself,dickless motherfucker.

   Delete
 9. Sheria na kanuni za football si lazima umguse mtu ndio iwe rafu, angalia SCHWEINSTEIGER alivyoingiza miguu yake ni kosa na anastahili adhabu ya kadi ya manjano kwakuwa aliweka mazingira ya Rooney kutokuwa huru kucheza mpira

  ReplyDelete
 10. Rooney hakujirusha bali alicheza mchezo wa kujihami kitu ambacho wanafundishwa wachezaji wa nje coz ukiangalia aliruka baada ya jamaa kuingiza miguu yote!hata mkurugenzi wa ufundi wa beyern amekiri ni foul na ni red card ingawa anadai hata valencia alistahii xheck goal.com!

  ReplyDelete
 11. Rooney alijirusha

  ReplyDelete
 12. Rooney alijirusha...., hawa wachezaji wa uingereza hawana lolote...kazi kutafuta miteremko ya kubebwa pasipo na mantiki....

  ReplyDelete