Mwenyekiti
wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) Jamal Emil Malinzi
amewasili leo Alhamis tarehe 10-4-2014 saa nne asubuhi katika Uwanja wa
ndege wa Bukoba Mjini na kupokelewa na Wadau wengi, Huku ikiwa ni mara
ya kwanza tangu achaguliwe Rais wa
TFF.
Bw. Jamal Malinzi baada ya kutua amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae kuhudhulia Kikao cha kamati Tendaji ya KRFA na siku inayofuata utakuwepo mkutano mkuu wa KRFA.
Bw. Jamal Malinzi baada ya kutua amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae kuhudhulia Kikao cha kamati Tendaji ya KRFA na siku inayofuata utakuwepo mkutano mkuu wa KRFA.
Kulia
ni Bw. Pelegrinius .A. Rutayuga, Mjumbe wa kamati Tendaji ya KRFA ,
Mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF na Mshauri Mkuu wa Kiufundi TFF makao
makuu, nae alikuwepo Uwanja wa Ndege Bukoba kwa mapokezi ya Rais wa TFF
Ndugu Jamal
Malinzi. Na hapa wakiteta jambo kwa kushirikishana na wadau pamoja na
Viongozi.
Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi
Kushoto
ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil
Malinzi kwenye picha na Mwandishi wa Mtandao wa Jamii Bukobasports.com
leo muda mchache alipotua kwenye Uwanja wa Ndege mjini Bukoba leo.

Jamani tumechoka na "Promo". Tunataka maendeleo kwenye Mpira. Kasi ya kupiga picha iendane na kasi ya kuleta maendeleo ya soka.
ReplyDelete