Search This Blog

Friday, April 11, 2014

BREAKING NEWZZZZ!: NUSU FAINALI UEFA: CHELSEA MDOMONI MWA ATLETICO MADRID, BAYERN VS REAL MADRID!!


Euro march: Chelsea recovered from a first-leg deficit to beat Paris Saint-Germain in the quarter-finals
Chelsea imepangwa na Atletico Madrid katika hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
 Mechi ya kwanza itapigwa katika dimba la Vicente Calderon wiki itakayoanza aprili 21 na marudiano ni wiki moja baadaye.
Nusu fainali nyingine ni baina ya Real Madrid dhidi ya Bayern Munich. 
Fainali ya UEFA itapigwa mjini Lisbon nchini Ureno mei 24 mwaka huu.

SEMI FINAL DRAW
REAL MADRID VS  BAYERN MUNICH
ATLETICO MADRID VS CHELSEA

Mechi zitacheza aprili 22-23 na aprili 28-29

1 comment:

  1. natabiri real madrid hawaziwezi tim za kijerumani wanafungwa chelsea na hao atletico chelsea anatolewa fainali bayarn vs bayarn bigwa atletico madrid samahani shafii maana najua utanuna kwa utabiri wangu

    ReplyDelete