Search This Blog

Saturday, March 22, 2014

WENGER ATIMIZA MECHI YA 1,000 NA KIPIGO KIZITO KUTOKA KWA CHELSEA - WAPIGWA 6-0


Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza mechi katika dimba la Stamford Bridge katika mechi 76.

Pia ushindi wa 6-0 ndio mkubwa kabisa kwa Jose Mourinho tangu alipokuja katika ligi kuu ya England.

No comments:

Post a Comment