Search This Blog

Thursday, March 20, 2014

WAKATI WENGER AKITIMIZA MECHI 1,000 TANGU AANZE KUIFUNDISHA ARSENAL - HIVI NDIO VIKOSI BORA NA KIBOVU KABISA


Kikosi bora kabisa cha Wenger
Arsene Wenger anatarajia kutimiza jumla ya mechi 1,000 akiwa na klabu ya Arsenal wikiendi hii dhidi ya Chelsea katika mfululizo wa mechi za premier league.

Katika kuadhimisha rekodi hiyo ya Wenger mtandao huu unakuletea vikosi - bora na kibovu zaidi katika wachezaji wote waliofundishwa na Wenger ndani ya klabu ya Arsenal.
Unaweza kutoa maoni yako kwa kupanga vikosi vyako vya Arsenal bora na kibovu
.

Kikosi cha wachezaji wabovu wa Arsenal

No comments:

Post a Comment