Search This Blog

Monday, March 31, 2014

VPL: KAGERA SUGAR 0 v RUVU SHOOTING 0, MTANANGE WAMALIZIKA KWA SARE, HAKUNA MBABE, SALUM KONONI AKIKOSA PENATI!

Kikosi cha Kagera Sugar kilichoanza

Kikosi cha Ruvu Shooting kilichoanza.

Mwamuzi pamoja na timu kapteini pande zote mbili, wakijuzana uelekeo kati ya timu hizo mbili kabla ya mtanange kuanza.

Benchi la Ruvu Shooting

Benchi la Kagera Sugar pamoja na viongozi wake

Mashabiki No.1 wa timu ya Kagera Sugar

Mashabiki wakicheki soka leo kwenye mtanange uliopigwa kati ya Kagera Sugar na Ruvu Shooting

Wadau wa Soka wakifuatilia mtanange Kaitaba hii leo

Katikati ya Uwanja wachezaji wa Ruvu Shooting na Kagera Sugar wakitafutana..

Kuumia ni swala la kawaida uwanjani na leo hii kwenye uwanja wa Kaitaba kuumizana lilikuwa ni swala la kawaida

Mchezaji wa Kagera Sugar Kiputa akinyang'anywa mpira na mchezaji wa Ruvu Shooting

Wachezaji wa Ruvu Shooting wakiwaendesha wenzao Kagera Sugar

Patashika kwenye lango la Ruvu Shooting, Kipa akiukosa mpira na beki wao kuiokoa kwa kutoa mpira nje!!

Kona kipindi cha pili kidogo Kagera Sugar waifunge bao Ruvu Shooting

Kipa wa Ruvu Shooting aliumia kidoge na mpira kusimama kama dakika 5

Hapa ni wachezaji wa Ruvu Shooting wakimzonga Mwamuzi baada ya wao kumkwatua mchezaji wa Kagera na Mwamuzi kutoa penati....hapana hii ni penati sasa!!

Hapana ....nimeiona hiyo rafu ni penati!! Ilikuwa ni katika kipindi cha pili dakika ya 82

Penati hiyo ilidakwa kwa kupanguliwa nje na kipa wa Ruvu Shooting

Baada ya Kipute kumalizika  Kocha mkuu wa Kagera Sugar Mayanja aliwachukua na kuwarudisha katikati ya Uwanja Kaitaba na kuomba kwa kile walichokipa leo hii kwa kugawana ponti moja moja na Timu ya Ruvu  baada ya kutoshana nguvu na kutoka sare ya 0-0.

Leo tumecheza chini ya kiwango!!!! Mechi ijayo ni Simba ...Twende tukajipange tunataka kuingia top 4"

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar akiachana na wachezaji wake baada ya kuongea nao!!!

No comments:

Post a Comment