Search This Blog

Tuesday, March 11, 2014

TIMU GANI KATI YA HIZI UNGEPENDA IRUDI LIGI KUU.


17 comments:

 1. Umesahau MECCO ya mbeya, Sigara ya DSM

  ReplyDelete
 2. Swwli lina upendeleo kuna ti.u kama zimepuuzwa au kusahaulika mecco ya mbeya.biashara (rtc) ya mwanza.red star ya dar na sigara ya dar mji mpwapwa saww lakini kuna kurugenzi dodoma na waziri mkuu dodoma na hata mwadui ya shinyanga

  ReplyDelete
 3. nadhani kuna timu nyingine tayari zimeshafutika katika ulimwengu wa soka yamebaki majina
  kwa maoni yangu hayataweza kuipandisha timu ligi kuu zaid ya hyo timu kuwa na mikakati madhubuti na nia ya kweli na ya dhati kwa viongozi na wachezaji kupanda hadi ligi kuu

  ReplyDelete
 4. African Sports,Majimaji,Tukuyu Stars,Pan African

  ReplyDelete
 5. da unanikumbusha mbali

  ReplyDelete
 6. taassisi husika ijaribu kuhakikisha atleast kila mkoa wanakua na wawakilishi katika ligi kuu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kila taasisi kuwa na timu ligi kuu kwa kila mkoa? nahisi ligi kuu itakuwa na timu zaidi ya 30. Maana tz bara kuna zaidi ya mikoa 22 then ongeza simba, yanga, azam mtibwa na nyinginezo, cdhan kama ligi itakuwa na mvuto pia ba kiwango bora

   Delete
 7. Umesahau Milambo ya Tabora, Tumbaku ya Tabora Morogoro, Mseto, Nyota za Morogoro, lake stars, ya kigoma

  ReplyDelete
 8. Timu za African Sports,Majimaji,AFC Arusha na Pan African zina uwezo wa kurejea na kufanya vizuri kutokana na kuwa na fan base na mvuto fulani kwa wadhamini na wapenzi kwa kuwa ni community clubs na bado zipo hai ingawa katika madaraja ya chini.Pamba,CDA na Ushirika haziwezi kuwa katika makali waliyokuwa nayo wali kwa kuwa mashirika yamekufa na hata viongozi waliozipa mafanikio wakati ule hawapo tena na hakuna dalili za kurithisha wengine.Viongozi wa FA za mikoa na wilaya wamelala tu wanasubiri kuendesha ligi na posho za Malinzi,wakati ndio wanaopaswa kuhakikisha mpira unachezwa katika ngazi za chini kabisa.Kazi ya TFF ni kuandaa sera na kuratibu tu kupitia kurugenzi yake ya ufundi au kurugenzi ya mpira wa miguu(football) ambayo kwa sasa haipo.H ii ndiyo njia pekee ya kurudisha msisimko uliokuwepo awali.Mikakati yote ya Malinzi ya kuinua kiwango cha soka bila kushirikisha mikoa na willaya na bila kuwajukumisha haitatufikisha popote kwani huwezi kujenga nyumba kwa kuanzia juu.

  ReplyDelete
 9. TP Lindanda wana kawekamo. Achana na hii timu enzi hizo! Tunashukuru kwa kutukumbusha japo kuzirejesha kunahitajika nguvu za ziada.

  ReplyDelete
 10. Mirambo ya tabora

  ReplyDelete
 11. Jamani jamani jamani mbona mmesahau Nyota Nyekundu au sijasoma vizuri wadau?Morris Nyuchi,Mbaraka Mohamed,Mohamed Nyauba,Pazi Ally,Faustine Kibingwa,Steven Chibichi,Hamis Dilunga,Ayoub Mzee,Roster Ngunguru,pande la baba John Manyana,wengine nimewasahu.

  David V

  ReplyDelete
 12. Nyota Nyekundu kulijkuwa na Dennis Mdoe,John Bosco,Frank Kasanga"Bwalya",Muhesa Kiwelo,Pamba kulikuwa na Masatu,Masha,Juma Amiri Maftah"Pele",Nteze John,Mao Mkami"Ball Dancer", na Alphonce Modest.CDA walikuwepo Lila Shomari,Simfukwe,Madaraka Selemani,Juma Mgunda,Charles Mngodo.n.kTukuyu ni Sekilojo Chambua,Godwin Aswile,Michael Kidilu,Aston Pardon,Steven Musa,Justin Mtekele n.k Majimaji ni Octavian Mrope,Celestine"Sikinde" Mbunga,Dadi Athumani n.k.Huko kwingine walikuwepo Lunyamila,Michael Paul,Kahabuka,Amlima,Mmachinga,Gaga n.k.Hivi vipaji huwezi kuvipata kwenye Academy au kupitia wang;amuzi uchwara wa vipaji katika mechi mbili, lazima urudi uwekeze kwenye soka la mtaani gombania goli n.k, au shuleni wanakosoma watoto wa walala hoi

  ReplyDelete
 13. Africans Wonderous ya Iringa

  ReplyDelete
 14. PAN AFRICANS Cosmopolitans African Sports na MSETO

  ReplyDelete