Search This Blog

Tuesday, March 11, 2014

TAKWIMU KUELEKEA GAME YA BAYERN VS ARSENAL - GUNNERS NDIO TIMU YA MWISHO KUPATA CLEAN SHEET NDANI YA ALLIANZ ARENA


  • Arsenal ndio timu ya mwisho kutoka uwanja wa wa Allianz Arena bila kuruhusu wavu wake kuguswa na Bayern Munich katika Champions League, waliposhinda 2-0 msimu uliopita March 13 2013.
  • Bayern wameshinda mechi 11 kati ya 12 za mwisho za Champions League, wamepoteza moja dhidi ya Arsenal. 
  • Bayern wameshinda mechi 6 katika hatua ya mtoano wa mechi za Champions League.
  • Bayern ndio timu iliyopiga mashuti mengi langoni katika Champions League - imepiga mashuti (59).
  • Arsenal wameshinda kwa angalau 2-0 katika mchezo wa ugenini wa hatua ya mtoano katika Champions League mara mbili: dhidi ya Milan mwezi March 2008 (2-0) na Bayern mwezi March 2013 (2-0).
  • Arsenal wameweza kupata clean sheets 3 katika michezo yao 27 ya ugenini ndani ya Champions League, mechi 2 kati ya hizo 3 walizotoka bila kuruhusu wavu kuguswa zilikuwa dhidi ya Bayern mwezi March 2013 na dhidi ya Dortmund mwezi November 2013).

No comments:

Post a Comment