Search This Blog

Thursday, March 27, 2014

SUAREZ NA STURRIDGE WAWEKA REKODI MPYA LIVERPOOL


Luis Suarez ndio mfungaji bora wa ligi kuu ya England, akiwa na magoli 28, anahitaji goli moja tu kuweka rekodi ya kuwa mfungaji aliyefunga mabao mengi zaidi kwa Liverpool katika msimu mmoja wa Premier League.

Luis Suarez amefunga kila baada 80 kwa wastani katika Premier league msimu huu.

Suarez mpaka sasa ametoa assists 12 - nyingi kuliko mchezaji yoyote katika Premier League msimu huu. 

Kwa pamoja - Daniel Sturridge na Suarez wameka rekodi ya kuwa washambuliaji wa Liverpool wa kwanza katika kipindi cha miaka 50 kuweza kufikisha mabao zaidi ya 40 ndani ya msimu mmoja wa ligi kuu ya England. 

No comments:

Post a Comment