Search This Blog

Tuesday, March 4, 2014

KAULI YA SIKU: SAMIR NASRI - "YAYA TOURE ANGEKUWA MWEUPE KILA MTU ANGESEMA YEYE NDIO KIUNGO BORA ZAIDI DUNIANI."

Samir Nasri: "Kama asingekuwa muafrika kila mtu angesema ni kiungo bora duniani. 
"Unawaona baadhi ya wabrazil au waargentina, sitaki kusema chochote kibaya, ila kwasababu wanatoka katika nchi hizo, basi vilabu vya EPL vinalipa £40m au £50m kwanunua.
"Mtu kama Yaya, ameshinda kila aina ya kombe, nitajie kiungo mmoja wa uzuiaji anayeweza kucheza kama yeye na kumaliza msimu na magoli yasiyopungua 15? 

No comments:

Post a Comment