Search This Blog

Wednesday, March 5, 2014

KAULI YA SIKU: DIDIER DROGBA - LUKAKU ANA MAENDELEO MAZURI YA SOKA KULIKO ILIVYOKUWA KWANGU

Didier Drogba - "Katika kipindi chote atakachokuwa akicheza soka, atafanya vitu vikubwa na tayari ameshaanza. Usisahau ni bado kijana wa miaka 19, anaitumikia Chelsea FC. Wakati nilipokuwa na umri kama wake, nilikuwa Le Mans.
"Ikiwa unataka kutufananisha, then maendeleo yake ya kisoka ni mazuri kuliko ilivyokuwa kwangu.

No comments:

Post a Comment