Search This Blog

Tuesday, March 18, 2014

DAUDA TV: TAZAMA UCHAMBUZI WA MECHI YA YANGA SC VS AZAM FC

1 comment:

  1. Ebana shafii kwa hili nkupongeza kwa maana nilikuwa nawaza Azam watajuaje kama wanaharibu maana yotre ya kitusha mech live kama hawana maandalizi ya kuandaa wachambuz wenye sifa.wamewekeza fedha nuingi sana hivyo wasione gharama kuealipa wachambuz wanaojielewa kama dk liki,Aly mayai kina pawasa na wengine wengi sio kuokota shabiki na kumuweka achamnue!halafu ni bora wajipange kuandaa studio ndogo kuliko kuchambulia mech uwanjani kama bonanza!huyo jamaa hajui mifumo ya soka kwa nini huyu anacheza hiv alikuwakuwa anajibu bila maelezo yoyote!

    ReplyDelete