Search This Blog

Wednesday, March 26, 2014

BAADA YA KIPIGO CHA JANA - JE DAVID MOYES BADO NI MTU SAHIHI KUIONGOZA MANCHESTER UNITED

Manchester United imecheza mara na Arsenal x2, Manchester City x2, Chelsea x2, Southampton, Liverpool x2, Tottenham Hotspur x2, Everton, Newcastle United katika mechi hizi zote 7 point kutoka kwenye point 39 kama wangeshinda mechi zote. Hii ni rekodi mbovu kabisa kwa Manchester United tangu ulipoanza mfumo wa Premier League.

HIGHLIGHTS ZA MCHEZO WA JANA


REKODI ZA UNITED CHINI MOYES
10 - Idadi ya mechi walizofungwa Manchester United katika premier league msimu huu - Idadi kubwa zaidi tangu ulipoanza mfumo wa Premier League.

6 - Idadi ya mechi za ligi alizopoteza uwanja wa Nyumbani Old Trafford - haijawahi kutokea hii kwa takribani miaka 12.

1 - Moyes ameiongoza Man United kushinda mechi 1 kati ya 13 dhidi ya timu tisa za juu kwenye premier league.

Man United imefungwa nyumbani na ugenini na Liverpool na Manchester City katika ligi msimu huu - ni imetokea kwa mara ya kanza katika historia ya klabu hiyo. 

Bado mnadhani David Moyes ni mtu sahihi wa kuiongoza klabu hii?

2 comments:

  1. m naamin Moyes anahitaji muda zaid,,,ni kwel amekuwa na msimu mgumu lakn swal la kujiiuliza n kocha gani anaeweza kuja kwenye timu mpya akafanya mambo makubwa nyakati za mwanzo labda unaweza ukasema Guardiola,,lkn julize timu alizofundisha zilikuwa katik wakat gani,,pia sio kwel kwamba kikosi ni kibaya ila ni matokeo ya kiufundi yanaweza kusababisha matokeo mabovu,mfano mchzo na liverpol,,,timu kusabbsha penalt tatu,,sidhani kama kuna kim cha kumlaumu Moyes au mchezo dhidi ya Man City,,kwel walifungwa lkin Man u walikosa magoli mangap ya waz je Moyes ndo anawaambia wakose magoli ya waz uwanjani,,hivyo mi naamin Moyes anahitaji muda baada ya muda ndo tutatambua anastahili au hastahili wapo watu waliotaka kocha wa Dortmund aje Man U jiuize wapo point ngapi chini ya mabingwa bayern,,,,tembelew blog ya www.georgethegreath.blogspot.com kwa ajil ya habari mbalimbali za michezo na burudani,,,,,njoo tuzungumze soka,,,njoo tulipende soka,,

    ReplyDelete