Search This Blog

Sunday, February 23, 2014

PICHA: YANGA HATARIIII YAIILIPUA KAMBI YA RUVU SHOOTING 7-0

 Kikosi cha Ruvu Shooting.
Kikosi cha Yanga.
 Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.
 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.
 Dogo huniwezi.................
 Sasa naenda kufunga......
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao.
Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya magoli waliyoifungia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0 (Picha zote na Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao.

2 comments:

  1. Shffih, unaweza kutuwekea video za mgoli yalivyofungwa

    ReplyDelete
  2. Simba huyo..habari yenyewe umeona alivyoileta?!!..ni kama katukio Fulani kametokea halaf unakaripoti ile kikawaida sn..kama ingekuwa kwenye gazeti habari ingewekwa kurasa za ndani kabisa...

    ReplyDelete