Search This Blog

Wednesday, February 12, 2014

TAKWIMU: BAADA YA BAO LA JANA, IVANOVIC SASA YUPO SAWA KIMAGOLI NA TORRES


West Bromwich Albion 0-1 Chelsea (Goal... by all-goals

Matatizo ya safu ya ushambuliaji ya Chelsea msimu huu yamekuwa wazi sana, huku washambuliaji Torres, Ba, na Eto’o wote wakiwa hawafungi mara kwa mara - ingawa katika siku za hivi karibuni Eto'o amepata ahueni.

Torres, mchezaji ghali zaidi kuwahi kununuliwa na Chelsea mpaka sasa ameifungia Chelsea mabao manne tu msimu mzima - idadi hii sasa imefikiwa na beki wa kulia wa timu hiyo Mserbia Branislav ‘Bane’ Ivanovic.

No comments:

Post a Comment