Search This Blog

Saturday, February 8, 2014

PHOTOZ: YANGA WALIPOWANYOOSHA WACOMORO TAIFA LEO


 Kiungo wa Komorozine Sports, Moidjie Ali akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, David Luhenda katika mchezo wa Ligi ya klabu Bingwa Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 7-0 


 Wacheaji wa Yanga wakishangilia baada ya kuifunga timu ya Komorozine Sports katika mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa timu ya Komorozine Sports.
 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa wa Komorozine Sports, Attouumane Omar katika mchezo wa Ligi ya Klabu Bingwa Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

2 comments:

  1. Hawa wacomoro wameponzwa na Simba sc kwani walipewa DVD za bonanza la nani mtani jembe na wenyewe wakajua ile ndiyo Yanga halisi.Kikosi hiki ni hatari sana,Simba wakae chonjo sasa tumeanza kazi.Wao waendelee kushiriki mabonanza sababu hawana mashindano yoyote ya kimataifa mwaka huu ndio maana wanakaza sana kwenye mabonanza kama vile mtani jembe na mapinduzi hayo ndiyo mashindano yao ya kimataifa wanayoshiriki.

    ReplyDelete
  2. tunataka maendeleo uwe unatuwekea highlight sio picha

    ReplyDelete