Search This Blog

Thursday, February 20, 2014

MJADALA: NI KWELI MESUT OZIL HANA MSAADA KWA ARSENAL KWENYE MECHI KUBWA ? Pamoja na shutuma lukuki kumwandama kiungo Mesut Ozil alikuwa miongozi mwa wachezaji watatu waliotembea sana kiwanjani.
Hii ni orodha ya wachezaji waliojituma sana kwenye mchezo baina ya Arsenal na Bayern Munich

Mathieu Flamini = 13.53km
Jack Wilshere = 11.80km
Mesut Ozil = 11.69km
Mario Gotze = 11.68km
Yaya Sanogo = 11.50km

4 comments:

 1. Refa kawaua gunners. Marefa wa ulaya tunaamini wanachukua kitu kidogo kama waswahili wetu. Ni rangi hakuna chochote

  ReplyDelete
 2. Refa alfanya kazi yake inavyotakiwa, ozil ndo aliowamalza arsenal, he is so soft, UEFA haichezwi kama carlng cup banah, that's y baada ya gibbs kuumia ule upande ukazid kuwa nyanya na kama rafinha angekuwa sawa ingekuwa aibu ya mwaka

  ReplyDelete
  Replies
  1. Usilete uongo kipa wa arsenal kuoneshwa kadi nyekundu .pia na kufungiwa. Adhabu tatu. Kosa alilofanya golikipa lilistahili penalty lakini haikustahili kadi nyekundu. Arsenal l

   Delete
 3. Refa ndio kafanya game iwe ngumu kwa Arsenal

  ReplyDelete