Search This Blog

Friday, February 7, 2014

MJADALA: NANI ANAFAA KUWA NAHODHA WA MAN UNITED BAADA YA NEMANJA VIDIC KUONDOKA? PIGA KURA


Nani kati hawa anastahili kurithi unahidha wa Nemanja Vidic msimu ujao ndani ya Manchester United?

1: Robin Van Persie 
2: Wayne Rooney
3: Johnny Evans
4: Micheal Carrick
5: Phil Jones
6: Micheal Carrick
6: David De Gea

13 comments:

 1. Wayne Rooney is the best option!

  ReplyDelete
 2. Wayne Rooney is the best option!

  ReplyDelete
 3. Wayne Rooney anastshili kuwa nahodha mpya wa Man Utd kwa sababu:-
  1. Ndiye mchezaji mwenye muda mrefu kuliko woye uliowaorodhesha,
  2. Performance yeke ya msimu huu ni credit nyingine ya kupewa unahodha,
  3. Kuondoa mawazo ya yeye kuondoka OT.

  ReplyDelete
 4. Phil Jones kwasababu ni mchezaji anaejua kuhamasisha sana wenzake, pia anajituma sana, Hana hasira za karibu, also ni best player kwa upande wa safu ya ulinzi ya man united

  ReplyDelete
 5. Apo nahodha ni WAYNE ROONEY na msaidizi wake atakuwa JOHN EVANS.Na ndo itakavyokuwa

  ReplyDelete
 6. WYNE ROONEY NDIYE ATAKAYEWAFAA

  ReplyDelete
 7. Robin van persie,ojeiy kiaro from iringa Tanzania

  ReplyDelete
 8. Darren Fletcher anastahili, anaweza asiwe mtu anayetegemewa kuanza kla mech bt c mtu unayemtegemea ataondoka hv karibuni.. Ana sifa za uongozi mbele ya wenzake. Ni jemedari, kipind kgumu alichopitia kmemfanya apate ham zaid ya kucheza soka...man utd nw inahtaj nahodha aliye tayar kuichafua jez yake kwa dam na si kuiacha njian kama walivyofanya keana na vida... Kubwa ya yote he iz the most experienced one than the mentiod ones.. Anaujua vzur utamadun wa man u mithili ya gerrard anavoufaham utamadun wa liverpool!

  ReplyDelete
 9. Darren Fletcher coz ni most experienced player than the mentioned above.. Kipind kgum alchopitia kmemfanya awe na ham zaid ya kuvaa jez nyekundu. Anaufaham sana utamadun wa old trafford. Anaweza akawa asipate nafas kubwa sana ya kuanza kikos cha kwanza, lakin uwezo wake wa kuusoma mchezo ni wa hali ya juu mno! Man utd nw tunataka nahodha tutayeamin hatatuacha njian kama keane na vida. Cna iman na watu kama rooney, carrick na jones coz hawaijui vzuri mizizi ya man u...

  ReplyDelete
 10. Michael Carrick "Dr"

  ReplyDelete