Search This Blog

Sunday, February 9, 2014

MATOKEO: MGAMBO WAINYOOSHA SIMBA 1- 0 - AZAM FC YAUA

Matokeo ya mechi zilizochezwa leo:

Mbeya City 2-1 Mtibwa Sugar

Dedebit (#Ethiopia) vs. KMKM (#Zanzibar) 3-0 [FT] - 16' Dawit Fekadu, 52' Shimekit Gugsa, 84' Michael George 

FT: Azam 1-0 Ferroviario (Tchetche 41') 

Mgambo JKT 1 - 0 Simba SC

4 comments:

  1. simba na yanga wakitoka nje dar ushindi wao drooo au wanunue mechi

    ReplyDelete
  2. Hao Simba walielekeza nguvu nyingi kwenye mechi za mabonanza kama vile nani mtani jembe na kombe la mapinduzi wakachonga sana kumbe wenzao walikuwa wanawasubiri kwenye ligi.Huyo kocha alikuja na mkwara wa kufanya sub kila akikasirika sasa itabidi na yeye afanyiwe sub

    ReplyDelete