Kiungo wa Manchester City Yaya Toure raia wa Ivory Coast ametawazwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kuwa mwanasoka bora wa bara la Afrika.
Yaya aliwashinda Mnigeria John Obi Mikel aliyeshika nafasi ya pili na Didier Drogba.
Mara baada ya kupokea tuzo yake Yaya amewashuku kaka zake,Obi Mikel na Drogba.
No comments:
Post a Comment