Lionel Messi alirejea dimbani jana
usiku na ilimchukua dakika 25 tu kuweza kufunga mabao mawili kwenye mchezo
ambao timu yake ya Fc Barcelona iliifunga Getafe mabao 4-0 ,mabao mengine
yalifungwa na kiungo Cesc Fabregas.
Mess alikuwa anarejea dimbani baada
ya kukosekana kwa siku 50 kutokana na majeraha yaliyokuwa yanamsumbua.
Hii picha ilipostiwa kwenye account ya instagramya kiungo Alex Song wakati wakipata chakula cha usiku mara tu baada ya mchezo huo, kutoka kushoto ni : Jose Pinto,Messi,Fabregas,Pique na Song
Messi means business
ReplyDelete