Search This Blog

Thursday, January 2, 2014

HATIMAE TOM HUDDLESTONE ATIMIZA AHADI YA KUZINYOA NYWELE ZAKE.

Kiungo wa Hull City Tom Huddlestone ametimiza ahadi yake ya kunyoa nywele zake iwapo angefunga bao baada kukaa miaka miwili na nusu bila kufunga,kiungo huyo aliifungia timu yake bao moja kwenye mchezo ambao timu yake iliifunga Fulham mabao 6-0.No comments:

Post a Comment