Search This Blog

Tuesday, January 7, 2014

DAVID MOYES APEWA MZIGO WA USAJILI.David Moyes  atapewa kiasi cha paundi milioni 200 kwa ajili ya kusajili wachezaji wapya,pesa hizo amepewa kufanya usajili wa wachezaji wapya ndani ya kipindi cha miezi 18.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Maily familia ya Glazier imeamua kumpatia mzigo huo ndani ya misimu miwili ili asajili wachezaji atakaowapenda mwenyewe.

No comments:

Post a Comment