Search This Blog

Thursday, January 9, 2014

CHEGGE CHIGUNDA -TATIZO LA MANCHESTER UTD NI DAVID MOYES, JE WEWE UNADHANI NINI KINAISIBU MAN UTD ?Kuendelea kufanya vibaya kwa klabu ya Manchester Utd ya nchini England kwenye mashindano mbalimbali kumeendelea pia kuwanyima Pesa ‘MTONYO’ wale wote wanaocheza michezo ya kubashiri matokeo (Betting).

Miongoni mwa walioathirika kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo ni mwanamuziki wa bongo fleva, CHEGGE CHIGUNGA,

Chegge amekuwa aki-bet Man Utd  washinde bila mafanikio kwa siku za karibuni ,

'' Mimi ni mpenzi mkubwa wa Man Utd,dunia nzima inajua sababu kubwa inayoifanya  timu hiyo ifanye vibaya  kwasasa ni Kocha David Moyes,iwapo kocha huyu ataondolewa basi naamini Man Utd itarejesha makali yake’,pia kamwe siwezi ‘ku-bet’ kwa timu pinzani  kuifunga Man Utd kwasababu naipenda sana Man Utd ''. 

BOFYA CHINI KUMSIKILIZA CHEGGE CHIGUNDA..

2 comments:

  1. ubingwa mwakani ni wetu bila tatizo lolote na kocha huyo huyo namuomba chege ahame timu yetu maana kashaanza kuitia gundu

    ReplyDelete
  2. Pole san,,, chege chigunda mtoto wa mama saidi,,,,,titizo ni formation 4 5 1 ,,,,inaikosti man united.

    ReplyDelete