Search This Blog

Thursday, January 23, 2014

BREAKING NEWS! KATIBU MKUU MPYA WA SIMBA NI EZEKIEL KAMWAGA,HAFISA HABARI NI ASHA MUHAJI




Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo  aliyekuwa afisa habari wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.


Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa afisa habari mpya wa klabu hiyo.

Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo....

1 comment: