Search This Blog

Wednesday, January 8, 2014

AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP.Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC imekuwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Kombaini ya Pemba mabao 2 kwa 0 katika mchezo wa nusu fainali iliyopigwa leo mchana kwenye uwanja wa Gombani humo Pemba. .

Mabao yaliyoipeleka Azam Nusu Fainali yamefungwa na mabeki Aggrey Morris dakika ya 68 na Waziri Salum dakika ya 85.

 Akizungumza na Sports Extra meneja wa Azam FC Jemedari Said amesema kwamba pamoja na ushindi huo lakini mchezo haukuwa mwepesi kwao.


No comments:

Post a Comment