Search This Blog

Friday, December 20, 2013

TULIZANA, ANGALIA KWA UMAKINI KISHA TUAMBIE KIPI KIKOSI BORA



16 comments:

  1. kikosi bora ni cha akina suarez,ronaldo na aguero...

    ReplyDelete
  2. Kikosi bora cha kina mesut ozil, christian Ronaldo, Luis suarez, gareth Bale na Peter bech ni nooooma

    ReplyDelete
  3. Baba wakina ROONEY,lazima waue mtu

    ReplyDelete
  4. kati ya oscar na ozil nani kiungo mkabaji?

    ReplyDelete
  5. kikosi cha cech ni bora kwa majina coz upangaji wake hasa sehemu ya kiungo hamna mkabaji wala msimamizi wa timu katikati.tofauti na kikosi cha never ambacho kina viungo hatari wachezeshaji na pia wakabaji ni dhahir kama wanakutana hawa basi akina compan na kipa wao chamoto watakiona coz watachoka kabla ya wakati kitu ambacho kitafanya mechi iwe ngumu kwao,mana wale kuna mtu anaitwa INIESTA,mtu anaitwa PIRO na pia mtu anaitwa ROONEY ni hatar sana watu hawa coz wanauwezo wa kubadil matokeo wakat wowote.

    ReplyDelete
  6. Cha akina Suarez moto. Isipokuwa sidhani kwa sasa hivi kama Rooney anastahili kuwemo kwenye kikosi chochote kiitwacho "bora". Ni average player tu huyu sasa hivi

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ni boya unaxema rooney ni average player kwa taarifa yako sithan kam kunamchezaj ambae amepiga pas xa mwisho za magol kama rooney kwa msimu huu boya wew.!!!

      Delete
    2. We ni boya unaxema rooney ni average player kwa taarifa yako sithan kam kunamchezaj ambae amepiga pas xa mwisho za magol kama rooney kwa msimu huu boya wew.!!!

      Delete
    3. Kashabikie bongo movie hujui mpira!

      Delete
  7. ozil noooooomaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Hicho.kikosi.kinachoongozea.na ronaldo.kipo hatar

    ReplyDelete
  9. Kikoc cha kina cech, ozil, oscar, ronaldo, bale, aguero na suarez ndiyo kikoc bora cha sasa

    ReplyDelete
  10. icho cha pili ni balaaa

    ReplyDelete
  11. Kwa mtazamo wa fasta tuu. Timu zote mbili hazina DMF(kiungo mkabaji). Pirlo na iniesta wote ki play makers. Ozil na Oscar ndo wale wale pia.

    ReplyDelete