Search This Blog

Saturday, November 9, 2013

PICHA: JUMA KASEJA AKISAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

Juma Kaseja akisaini mkataba wa kuichezea Yanga mbele ya mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga Bin Kleb, nyuma Abdulfatah. Kaseja amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.3 comments:

  1. At last, big up Kaseja. Muhimu ni kupata timu na kuendeleza carrier yako. Upenzi na ushabiki pekee hauna nafasi kwenye mafanikio yoyote.

    ReplyDelete
  2. Dah kaka big up leo wale ambao walikuona hufai onesha uwezo uwanjani na sivinginevyo mm ni shabiki wa upande wa pili ila ktk vitu vilivyoniuma ni ww kuachwa bila sababu za msingi nenda kapige kazi kaka mungu atakuwekea wepesi katka kazi yako big up jembe.

    ReplyDelete
  3. Hii itakua fundisho kwa viongozi wa wababaishaji kama akina rage timu kila mmoja sasa amekua mtu wa ipolojo tu hakuna utendaji wala ufanisi na weledi wa mambo umekua ziro,mm sio mtalam sana wa mambo ya soka ila unaona kabisa hakuna codnation kati ya timu bechi la ufundi na uongozi kocha anatengeneza majungu na wachezaji ambao uongozi umewaghalimia pesa nyingi na uongozi una angalia tu yani kwa hili la juma kaseja kwenda yanga ni sahihi kwani wakati kibadeni anakuja simba alimkuta kaseja na kama kocha mwenye weledi wa soka sidhani kama angekubali juma aondoke aje ntara hii ndio inayo onesha kati ya weupe na weusi wa majungu kama kibadeni wakati ule angekua mzungu na uwezo wa kaseja anaujua asinge kubali kuipokea timu ila njaaa za makocho na kuto kujua anachoenda kukifundisha na nini matarajio ya badae ni hayo tu.

    ReplyDelete