Search This Blog

Wednesday, November 6, 2013

NANI MTANI JEMBE YAFANA MKOANI SHINYANGA

 Wasanii toka MZA BwKiduku na Simbapori wakiinadi bia ya 
            Kilimanjaro ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE ktk baa
              ya RY Misanga ktk Manispaa ya Shinyanga.
 Mkazi wa Manispaa ya Shinyanga Bw Juma a.k.a mzee wa
             Colgate akijiandaa kupokea zawadi ya jezi baada ya kushinda
           ktk zoezi la ununuzi wa bia ya KILI ktk kampeni ya NANI MTANI
          JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya RY Misanga SHY.
 ancer maarufu SHY Bi Mariam Peter a.k.a. Fanta akipagawisha
      wakazi wa Shinyanga ktk baa ya RY Misanga ktk kampeni za
         NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro.
 Shabiki wa timu ya Yanga akionyesha umahiri wa kucheza
            jukwaani na chupa iliyojaa bia kichwani ktk kampeni za
               NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya
           RY Misanga Manispaa ya Shinyanga jana tar 5/11/13.
Wakazi wa Manispaa ya Shinyanga na viunga vyake wakisakata
      rumba ktk baa ya RY Misanga ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE
         kupitia bia ya Kilimanjaro jana tar 5/11/13.

No comments:

Post a Comment