Search This Blog

Wednesday, October 9, 2013

REAL MADRID YASAJILI KINDA LA KIJAPANI LENYE UMRI WA MIAKA 9.

Real Madrid imefanikiwa kumsajili kijana Takuhiro Nakai maarufu kwa jina la "Pipi," kijana huyo ana umri wa miaka 9.
Kwa mujibu wa gazeti la Marca la nchini Hispania, Nakai kwa mara ya kwanza alionekana nchini Japani kwenye kipindi cha Televisheni akionyesha kipaji chake.

Kwa kumsajiili kijana huyo Madrid ni kama vile imewalipa mahasimu wao Barcelona ambao hivi karibuni walimsajili pia kijana raia wa Japani Takefusa Kubo "Japanese Messi," mwenye umri wa miaka 11. HUYU NDO KIJANA TAKUHIRO NAKAI

No comments:

Post a Comment