Search This Blog

Thursday, October 10, 2013

NINI MAONI YAKO JUU YA HII TWEET YA TB JOSHUA.


10 comments:

  1. photoshop imefanya kazi yake hapo...!! hiyo picha sio realy

    ReplyDelete
  2. tb yeye ni mungu kwani? ebu aende zake akatibu kifua kikuu chake huko

    ReplyDelete
  3. Sijawahi msikia kwanza akiongelea mpira,suala ni mungu au sio mungu ni kitu kingine

    ReplyDelete
  4. Yeye si Mungu bali ni Nabii wa Mungu na tweet hii si yake,bali ni mtu anayetaka kuwapa mashabiki
    wa Arsenal hofu tu.

    ReplyDelete
  5. huyu aliyeweka hii image hapa, na anajiita mwandishi wa habari nna wasiwasi na taaluma yake,, ungefanya kwanza utafiti... kwa siye tunaomfollow hakukuwah kuwa na tweet kama hiyo labda ni joshua wa bongo

    ReplyDelete
  6. let's wait n' c hw a great liar is tb(tuberculosis),soka aachie wanandinga,yy afanye yake!

    ReplyDelete
  7. Mzee hiyo ni fake Id,sometimes yu have to check before posting coz like this emedeal na imani za watu

    ReplyDelete
  8. Tweet ynyw ni ya tangu July,unataka uniambie kipindi hiki ndo inapata umaarufu?? Angalia tu ht mandishi yalivyo yanaonekana kabisa ni ya kutengeneza hlf na ww Shaffih unatuwekea kwny blog yako inayoaminiwa.Hii nliikuta pia kwny blog flan ya udaku,na ww umeibeba km ilivyo eti!!

    ReplyDelete
  9. Sina hakika mtumishi kama yule anaweza kuweka mtazamo kama ule hewani khvyo, siku hzi kuna wizi wa kmtandao tukumbuke.

    ReplyDelete
  10. Arsenal itachukua makombe mengi mwaka huu inshaallah

    ReplyDelete