Search This Blog

Wednesday, October 16, 2013

MJADALA: NINI MAONI YAKO JUU YA ADHABU YA RUKAMBURA KUFUNGIWA MIAKA 20 KUTOJIHUSISHA NA MASWALA YA SOKA.

kamati ya rufaa ya maadili imempa adhabu ya kumfungia miaka 20 Mgombea nafasi ya uraisi wa TFF ndugu Richard Rukambura kutojihusisha na maswala ya soka kwa kipindi hicho.
WEWE KAMA MDAU WA SOKA NINI MAONI YAKO JUU YA ADHABU HIYO....


4 comments:

  1. Hivi miaka ishirini kwa kosa lipi hasa?hawa jamaa bwana sijui wakoje

    ReplyDelete
  2. Adhabu aliopewa Richard ni kubwa mno kulingana na kosa lenyewe, na inaonekana uamuzi uliotelewa unashinikizo la watu fulani ambao wanamuogopa sana Rukambura, kwni ni mpenda haki hasiye penda Rushwa na Mtetezi wa Wanyonge. Ukweli bwana Richard Rukambura mm nimesoma nae chuo kimoja na namjua kuwa ni mpiganaji wa kweli hasiye mwogopa mtu yeyote ni mtu anae staili katika kuendeleza soka letu la bongo lenye ubabaishaji mwingi.

    ReplyDelete
  3. Mi naona ni sahihi kwa bwana Richard kupata adhabu ila si kubwa kiasi hicho, kwanamna moja au nyingine hiyo adhabu ni kubwa sana bora wangefanya hata miaka mitano na Faini juu! Hii kamati iwe na huruma au ndo mambo ya fitina! Miaka ishrini kweli na maisha ya ayah mafupi!

    ReplyDelete
  4. Nataka kujua ...ivi kuna sehemu (makosa na adhabu) kumeandikwa kwa kuainisha aina ya kosa na adhabu yake ili kuwaongoza wanaotoa adhabu au watoa adhabu ndo wanaamua aina ya adhabu? Kama adhabu zinatolewa kwa utashi tu wa watoa adhabu basi kuna uwezekano wa watoa adhabu kutumia vibaya nafasi hiyo kuwakandamiza watu kwa kuwa waathirika wa adhabu hawatakuwa (kimsingi) na sehemu ya kukata rufaa..gharama za kukata rufaa CAS ni kubwa mno kwa mtanzania wa kawaida.

    ReplyDelete