Search This Blog

Wednesday, October 23, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI ARSENAL ILIPOFUNGWA NA DORTMUND NYUMBANI MABAO 2-1.

                     Dauda ndani ya Emirates.....

                      Sagna
 Meneja msaidizi wa Arsenal Steve Bould akiandaa session ya warm up.
 Dauda akiwa na mashabiki wa Arsenal nje ya uwanja wa Emirates
 Mesut Ozil akipasha misuli moto.
                   Giroud alipokuwa akipasha moto kabla ya mchezo kuanza.


 Hapa ilikuwa kabla ya mchezo kuanza...
 Dauda ndani ya Emirates Stadium....

 Giroud akifunga bao la Arsenal...
 Lewandowski akishangilia bao la ushindi dhidi ya Arsenal.

   Sehemu ndogo ya mashabiki wa Dortmund kwenye uwanja wa Emirates,lakini walivyokuwa wakiishangilia timu yao utadhani wao ndo walikuwa nyumbani..
 Arsene Wenger kwenye mkutano na waandishi wa Habari mara tu baada ya mchezo...

Shabiki wa Manchester United Ismail Sota pia alikuwepo Emirates kushuhudia mchezo wa Arsenal na Borussia Dortmund

No comments:

Post a Comment