Search This Blog

Thursday, October 24, 2013

KAMPENI ZA NANI MTANI JEMBE KANDA YA ZIWA OCT. 2013

 Shabiki wa timu ya Simba akiandaliwa na MC Prezoo ili aweze kupiga penati ktk
                 kampeni za NANI MTANI JEMBE  jijini Mwanza ktk baa ya New Shokeni Pub.
 Mmoja kati ya washiriki wa zoezi la upigaji penati akiwa ameukosa mpira na
                   kusababisha burudani ya aina yake kwa washiriki wa kampeni za NANI MTANI
                     JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro jijini Mwanza tar 23/10/13.
Mpenzi wa timu ya Yanga Daniel Philemon akifurahia zawadi ya jezi ya Yanga
                   baada ya kushinda zoezi la upigaji penati. Ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE
                 kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya New Shokeni Pub Mwanza.
 Shabiki wa Yanga akipiga danadana na hatimaye kuwa mshindi, alizawadiwa
                    jezi ya timu ya Yanga. Ni ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia
                      bia ya Kilimanjaro ndani ya baa ya New Shokeni Pub Mwanza tar 23/10

 Mchuano mkali wa kuvuta kamba kati ya wapenzi wa Simba na Yanga.
                     Hatimaye Simba walishinda, ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE
                     kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya New Shokeni Pub Mkuyuni Mwanza.
 Mashabiki wa Simba wakikumbatiana kwa furaha baada ya kushinda ktk
                 zoezi la kuvuta kamba, ni ktk NANI MTANI JEMBE ni New Shokeni Pub jana.
Wapenzi wa Simba wakifurahia zawadi za jezi baada ya ushindi wa kuvuta
                     kamba New Shokeni Pub Mwanza. Ni ktk za NANI MTANI JEMBE
                       kupitia bia yetu ya Kilimanjaro jana tar23/10/13.

No comments:

Post a Comment