Search This Blog

Friday, October 18, 2013

'' KAMA RIHANNA AKINITAKA SIWEZI KUMKATAA''- DANIEL STURRIDGE

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Daniel Sturridge amefichua hisia zake kwa nyota wa muziki wa Pop Rihanna . Katika Interview moja aliyoifanya kwenye jarida la rapa wa marekani Jay Z, Sturridge alizungumzia usajili wake toka Chelsea kwenda Liverpool na pia maisha yake ya Mapenzi na zaidi alizungumza kumhusu Rihanna . Soma maneno yake hapa.
 http://www.soccerreport.com/sturridge-i-wouldnt-say-no-to-rihanna/

No comments:

Post a Comment